Skip to product information
1 of 1

What do you like to do? / Unapenda kufanya nini?

What do you like to do? / Unapenda kufanya nini?

Written by: Ubongo

Illustrated by: Ubongo

Recommended for ages: 0-7

Number of pages: 22

Book cover type: Soft cover

Happy Hippo likes to read. Little Lion likes to jump. Bush Baby likes to draw beautiful pictures. What do you like to do?

Have fun when learning with books of Akili and Me, in both English and Kiswahili! Read the books to your children to help them learn to read. Enjoy more activities with more learning!

-----------

Happy Hippo anapenda kusoma. Little Lion anapenda kuruka. Bush Baby anapenda kuchora picha nzuri. Na wewe je, unapenda kufanya nini?

Furahia kujifunza kwa kupitia vitabu vya Akili and Me, kwa Kiswahili na Kiingereza. Msomee mwanao umsaidie kujifunza kusoma. Faidika na mazoezi ya kufurahisha na ujifunze zaidi.

Regular price GH₵40.00
Regular price Sale price GH₵40.00
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.
View full details