Kibena and the math rats: Counting ones, tens, hundreds and thousands / Heka heka za panya: Kuhesabu mamoja, makumi, mamia na maelfu
Written by: Ubongo
Illustrated by: Ubongo
Recommended for ages: 4-8
Number of pages: 30
Book cover type:
The rats have destroyed Mzee Kigo’s corns. Can Kibena use ones, tens, hundreds and thousands to move all the rats to a new home?
Ubongo Kids Books help children to learn and love mathematics and science through entertaining stories and fun comprehension activities.
This is an English and Swahili book.
---------
Panya wameharibu mazao ya Mzee Kigo. Je, Kibena ataweza kuwahamisha panya wote kwa kutumia mamoja, makumi, mamia na maelfu?
Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.
Couldn't load pickup availability
